PICHA 10: Maziko Kagera ya Mwalimu aliyefariki ajali Arusha

May 9, 2017 mwili wa aliyekuwa Mwalimu wa Shule ya St. Lucky Vicent, Arusha, Innocent Papian aliyefariki akiwa na umri wa miaka 25, umezikwa nyumbani kwao Kagera kwenye kijiji cha Nyakatete, Kata ya Mabira, wilayaniKyerwa, Mkoa wa Kagera.
millardayo.com na AyoTV zilikuwepo na hivi ndivyo ilivyokuwa.










VIDEO



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni