Circle Gallery

Mbwana Samatta kampokea Himid Mao Ubelgiji


  1. Nahodha wa 





  2. timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samattausiku wa May 10 ametumia ukurasa wake wainstagram kupost picha ya pamoja na mtanzania mwenzake Himid Mao anayeichezaAzam FC wakiwa wote Ubelgiji
  3. Himid ambaye hivi karibuni alikuwa katika majaribio Denmark katika club ya Randers FCameonekana ameamua pia kwenda kumtembelea Mbwana Samatta Ubelgijikutokana na Denmark na Ubelgiji kuwa sio mbali sana, Samatta amepost picha akiwa uwanja wa ndege wa Brussels Ubelgiji na kuandika “Nikiwa na mgeni wangu👍🇹🇿@himid23mao
  4. Kama utakuwa unakumbuka vizuri Himid Maoaliondoka Tanzania wiki iliyopita na kwenda Denmark kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa katika timu yaRanders FC inayoshirikiki Ligi Kuu Denmark na Jumanne hii iliripotiwa kuwa alicheza game ya kirafiki kama sehemu ya majaribio yake.
  5. VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera
https://matowoblog.blogspot.com/2017/02/blog-post.html

Kupata Taarifa Kwa Haraka Jiunge WhatsApp HAPA CHINI

https://matowoblog.blogspot.com/2017/02/blog-post.htmlhttps://matowoblog.blogspot.com/2017/02/blog-post.html

Hakuna maoni: